Siku za karibuni nimendela kupata habari kutoka kwa wateja wangu jinsi gani watu waliokuwa na matatizo ya kiafya hasa ya allergy na kupoteza kumbukumbu walivyosaidika kwenye matatizoa yao. Lakini kwa kuwa mimi sio mwasanyansi ila ni naamini watu waliotangulia wanaweza kuwa wamefanya utafiti zaidi ili nami nipate sehemu ya kuizungumzia kisanyansi na baada ya kuaanza kutafuta nini hasa kimefanyika ndipo nilipokuta makala ya Dr J. C Truggier, Daktari wa kifaransa ambaye katika miaka ya 1960 aliamua kufanya utafiti baada ya kuona watu wengi waliotumia mayai ya kware wanapata nafuu hasa kwenye allergy za mazingira wanayoishi na wanaume walikuwa wamepungukiwa na nguvu za kiume zikirudi kwa miaka kumi alifanya utafiti na akagundua kuwa mayai haya yanasaidia sana katika kukuza kinga ya mwili wa binadamu kupambana na magonjwa na hivyo hivyo katika kufanya watu wenye allergy mbalimbali kuendelea vyema na kutosumbuliwa na hasa wale waliokuwa wanasumbuliwa na vumbi na hatimaye utafiti wake ulichapishwa katika French Medical Journal 15 March 1978 ukipenda ujisomee wenyewe kwa urefu hii hapa link yake
file:///C:/Users/user/Downloads/9.Truffier%20JC-1978-EN-Treatment%20of%20allergy-Quail%20eggs.pdf
Ila kiu yangu haikuishia hapo nikaendelea kutafuta tafiti ambazo nazo zimefanyika siku za karibuni ikiwa nayo technologia imeuongezeka ndipo nilipokutaana na moja iliyochapishwa kwenye International Journal of Scientific and Research Publication volume 3 ya toleo la tarehe 05 May 2013 ambalo baada ya utafiti wao walifikia hitimisho hili "
"Many nutrient benefits of quail eggs which
most of them as good sources of protein, fat, vitamin E, minerals
(nitrogen, iron and zinc) and sex hormone P. Thus, we should
educate or transfer knowledge to people for good nutrient
benefits of quail eggs as good nutritional foods and may be the
alternative resolving problem of people in some or all nutritional
nutrients necessary for human health in developing countries and
may be a good potential to resolve “World Food Problem”.
ukitaka utafiti wote na jinsi walivyofikia hapo unaweza kuupata kwenye hii link
http://www.ijsrp.org/research-paper-0513/ijsrp-p1729.pdf
Naamini tukiendelea kutumia mayai yake nakuona faida zake tunaweza kuomba wana sayansi wetu nao wafanye utafiti ili tuendelee kujua faida zake nyinginezo ambazo hazijangundulika bado nawatakieni siku njema.