Baada ya kuelimishana juu ya umuhimu wa mayai yak ware
katika mwili wa binadamu watu wengi walipitia sehemu mbalilmbali wameona
kwenye mtandao kuwa yana umuhimu kweli
kwenye afya zetu kama
chakula bora. Sasa swali ninaloulizwa mara kwa mara ni je yanatumiwaje au
yanaliwaje? Mayai ya kware yanaaliwa vilevile kama
yanavyoliwa ya kuku unaweza kukaanga, kuchemsha na hata kula wabichi vyovyote ambavyo wewe utaona inafaa.,
mimi napenda zaidi kula ya kuchemsha au kuyasteam kwenye mvuke naona hivyo ndio
matamu. Mayai haya ambayo mimi napenda kuyaita kuwa super food yanasaidia sana watu katika kuimarisha kumbukumbu, watu wenye
kisukari nyama isiponyee, watu wenye shinikizo la damu au pressure na inaondoa
cholesterol mbay inaweka nzuri maana mayai yak ware yana cholesterol nzuri kwa
asilimia kubwa sana .
Hapa chini ni jinsi ya kutumia ukiwa unataka kuweka afya yako vizuri tumia
matatu kila siku kwa mtu mzima au mawili kwa watoto walio na umri chini ya
miaka 16 kwasababu mayai haya ni madogo matatu ni karibu sawa na yai moja la
kuku. Ikiwa unarecover au unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali wakati unatumia dawa ulizoandikiwa
sio vibaya ukala chakula hiki bora kama ilivyoainishwa kwenye
matandao wa http://www.quailfarm.co.uk
kwa kufuata siku hizo na mayai hayo
yalioaninishwa hapa chini.
Age Group
|
Jumlaya mayai ya kware
Total No of Quail Eggs
|
Jumla ya siku
Total No of Days
|
Siku ya kwanza
1st Day
|
Siku ya pili
2nd Day
|
Siku ya tatu
3rd Day
|
Kuanzia siku ya nne na kuendelea
From the 4th Day on
|
Adult/watu wazima
|
240
|
49
|
3
|
3
|
4
|
5
|
Adult/Watu wazima
|
120
|
25
|
3
|
3
|
4
|
5
|
16-18 yrs/miaka
|
120
|
25
|
3
|
3
|
4
|
5
|
11-15 yrs/miaka
|
120
|
31
|
3
|
3
|
3
|
4
|
8-10 yrs/miaka
|
90
|
30
|
3
|
3
|
3
|
3
|
4-7 yrs/miaka
|
60
|
20
|
3
|
3
|
3
|
3
|
1-3 yrs/miaka
|
60
|
30
|
2
|
2
|
2
|
2
|
3 miezi/mount - 1 yr/mwaka
|
30
|
30
|
1
|
1
|
1
|
1
|
For Children: The consumption of quail eggs is recommended for
children whether cooked or raw for their physical and mental balance. Quail
eggs help improving the IQ.
|
|
Growth
stimulation and metabolism improvement
|
100eggs
|
Reactivate
the nerves and central nervous system
|
120eggs
|
For the elderly: Quail eggs have brilliant regenerative
effects on the body therefore are recommended for the elderly. It can calm
down and/or cure many diseases attributed to old age, deficiency or excess
nutrients in the body.
|
|
quail
eggs help renewing the state of health and brings the body to equilibrium,
combats the degenerative process and rejuvenates the body
|
240eggs
|
revives
memory and protects nerve cells
|
120eggs
|
improves
sexual potency
|
120eggs
|
reinforces
organs weakened by physical work or stress
|
240eggs
|
fortifies
the body
|
240eggs
|
Asthma
|
240eggs
|
Skin
rash
|
120eggs
|
Eczema
conjunctivitis
|
120eggs
|
Allergic
rhinitis
|
240eggs
|
Gastric
ulcers
|
240eggs
|
Poor
digestion
|
120eggs
|
Excess
secretions of stomach acids
|
120eggs
|
Improves liver organ functions
|
240eggs
|
Improves
the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis
|
240eggs
|
anaemia
|
240eggs
|
arterial
hypertension
|
240eggs
|
gouts
|
240eggs
|
obesity
|
240eggs
|
diabetes
|
240eggs
|
neurasthenics
|
240eggs
|
nervous
state
|
240eggs
|
Benefits of quail eggs during pregnancy and while breast
feeding:
|
|
The
consumption of quail eggs fortifies the woman’s body during pre and post
natal periods as well as after surgery and radiotherapy. It also has
beneficial effects on the foetus (physical and mental balance) and for the
mother after delivery (physical rehabilitation and rejuvenation of cells).
Quail eggs also improve the quality of breast milk.
|
240eggs
|
The
consumption of quail eggs by HIV AIDS patients improves CD4
|
240egg
|
No comments:
Post a Comment